Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
Jema Mwankugha
Description
Subscribers
1.43K
Subscriptions
Recent Activity
|
Jema Mwankugha
|
||
Friends
Channel Comments
|
jemamwankugha
(1 year ago)
Kuna vita tunashinda maana neema inatubeba, kuna mapito magumu tunavuka salama kwasababu Neema ya Mungu inatuvusha hatuishi kwa mapenzi yetu bali ni kwa NEEMA YA KRISTO
|
|
Directorkenz
(1 year ago)
ni neema tuh inayotuwekaa juu
|
|
tussahmassesse
(1 year ago)
Neema ya Mungu hakika naziona imenifunika
|
|
AdventKandonga-gh5ll
(1 year ago)
WOoooo me barikiwa san
|
|
floramax2168
(1 year ago)
Hakika neema naiona barikiwa sana kipenzi
|
|
danielmsongoleofficial
(1 year ago)
Balikiwa Dada mkubwa HAKIKA tunaishi ni Kwa Neema tuu
|
|
veronicamsomba8367
(1 year ago)
Waooooo wimbo unabariki sana
|
|
MaikoMenard-h3s
(1 year ago)
Hongela sana mwanangu YESU akuinuwe zaidi
|
|
veronicamsomba8367
(1 year ago)
Hongeraa sanaa Mungu amenda
|
|
Banzatz
(1 year ago)
Ubalikiwe
|
|
FabbyWamaradha-p6t
(1 year ago)
Nipeni like zangu jamani nisalama
|
|
RAIVONMWAKALANJE
(1 year ago)
Ubalikiwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara
|
|
Leonardkawala
(1 year ago)
Kazi nzuri mnoooo
|
|
eliasalawa1831
(1 year ago)
Barikiwa sana dada angu umeweza sana
|
|
JohnMwanjala-ms1cv
(1 year ago)
Great
|
|
Paulmwanjokaofficial
(1 year ago)
Kazi kubwa dada
|
|
AtuMwisa-o4f
(1 year ago)
Hongera sana kipenzi changu Mungu akutunze sana wimbo mzuri sana neema imetubeba tu hatustahili chochote
|
|
IsayaKiungi
(1 year ago)
Wooow wanao amin kuwa ni NEEMA mpaka leo tunavyo ishi na Kiboooo kafanya yake Humu weka like
|
|
desaumwaweza
(1 year ago)
|
Add comment






























