Isaya kingi
Isaya kingi's Channel
 
 
Isaya Kiungi _ Huu mwaka (official video)
133
Isaya Kiungi-Ni Wewe (Official Video)
133
Isaya kiungi_Ameniona_(Official Video)
66
Isaya Kiungi - Mimi Naona ( Official Visualizer)
66
ISAYA KIUNGI ___ VYOTE HUKIRI
52
ISAYA KIUNGI _____ NIWEWE
40
Isaya kiungi __ Vyote hukiri
15
 
Isaya kingi
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
Isaya kingi
Description
GOSPEL MUSIC AND SONG WRITER

FROM TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿

CONTACT NO_ 0769181034
Subscribers
1.07K
Subscriptions
Friends
Channel Comments
joshuasamwel_tz (6 years ago)
Hakika . Amen nimebarikiwa #Nitasimamaje
erickmawira5969 (6 years ago)
Mimi mgeni toka 254...nimeupenda huu wimboo....Kali saana....nimewakilisha wakenya wote hapa
elishathecomedy1221 (2 years ago)
Kaka wapi Saiz kaka mbona kimya sana
michaeljengwaz4328 (2 years ago)
Moyo wangu umejua wazi,bilawewe,siwezitembea,
viktamade (6 years ago)
director kazi nzuri sana na muimbaji nyimbo nzuri sana
MophatYekonia (6 years ago)
Ameeeeennn wapwa katika Yesu tuendelee kushare nyimbo hii ya mtumishi wa Mungu huyuu
salomemichael5797 (6 years ago)
safi br kaza mungu akubariki utunzi mzur safiiii hongera
crishazmwandambo9235 (4 years ago)
Isaya nimeelewa nyimbo nzur na ina ujumbeee mzito MUNG azidi kuonekana kwenye kaz zako amen
kenjaboy8070 (2 years ago)
Kaka nakubalii Sanaa
lyidianaiso729 (5 years ago)
Hongra sana broo Mungu azd kukuinua kwa viwango vya juu zaidi
JANETHMASSAWE-t6e (1 year ago)
Unajua sn mdogoangu, Mungu akutunze na àkukumbuke
lulanjamd3886 (6 years ago)
Nani mwingine kagundua kuwa Mungu kaibariki Tanzania kwa baraka nyingi tofauti mfano katupa Isaya kiungi
rachelrashidy9128 (6 years ago)
nmekusikia leo kwenye radio ya kina mr mbeya ndo nmekuja kukuchek uku kwel broo wimbo n mzr barikiwa sana
MophatYekonia (5 years ago)
Whaoooo bila wewe nitasimamaje hakika YESU nishike mkono,, napapenda hapo pa ooohh daddy
alexandermotela (6 years ago)
Kaka Mungu azidi kusimama na ww, umetisha be blassed
IsayaKiungi (6 years ago)
Nashukurun wooote maombi Yenu
kadalakomba811 (6 years ago)
Ongera sana mtumishi wimbo unabariki mno.
mariamstephano5892 (6 years ago)
Hakika nimeguswa na huu wimbo yaan pale umepepeta kwenenda kwangu umepepeta mawazo yangu umepepeta kulala kwa kwangu yaaan dah
digallamkushi (6 years ago)
Aisee nashindwa kuelezea hii ngoma Mana ina kila sifa ya kua nyimbo Bora ya muda wote Mana ina ujumbe wenye kutufany tumtegemee yehova daima ili tusimame. big up my G bloood isaya(damo)
IbraMziki (6 years ago)
Nimepitana na hii nyimbo kwenye pirka tu. Nimeipenda sana. Naweza penda sana kufanya nyimbo na wewe.