Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
BBC News Swahili
Description
Video za habari na matukio duniani kutoka BBCSwahili.com
Subscribers
1.02M
Subscriptions
Recent Activity
|
BBC News Swahili
Nchi gani itakuwa na idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani mwaka 2050
Pick a correct answer:
Ethiopia Marekani Tanzania UAE
|
||
|
BBC News Swahili
Mchungaji anawayewahimiza waumini wake kukataa chanjo
|
||
|
BBC News Swahili
Mji mkuu gani ndio wa kwanza duniani kuachana na pesa taslimu
Pick a correct answer:
Islamabad Nairobi London Berlin
|
||
|
BBC News Swahili
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wa filamu duniani, Robert Pattinson anatajwa kuwa James Bond mpya, akichukua nafasi ya kuigiza jasusi maarufu 007.
|
||
Friends (6)
Channel Comments
|
hellenmatemba5548
(1 year ago)
Pole Sana Mo. Mungu ni mkubwa Sana na Imani yako Kwa Mungu ni kubwa.namshukuru Mungu uko hai
|
|
jilbertdanifordbutemba917
(3 years ago)
Ata Mimi nakupenda moo maana kuna siku uliongea kitu Cha iman ukagusa moyo wangu.
|
|
momylaviel
(2 years ago)
Baada ya yote uliyoyapitia bado unaishi Mungu akupe maisha marefu
|
|
jeremiahjulias2002
(3 years ago)
Brother Mohamed Dewij you are Man of God Mungu azidi kukupigania, una hofu ya Mungu pia una Roho ya upendo ndani Yako.....! Nimejifunza mengi kupitia wewe, let me change my life...!
|
|
mpozaurugamba2615
(4 years ago)
Pole sana Mungu akongezeye heli!
|
|
upendomgombozi1239
(3 years ago)
Mungu akuongezee maisha marefu Mo. Leo ndo naiona simulizi yako japo muda mrefu ulishapita imeniumiza sana, mtegemee mungu yeye ni kilikitu kwako
|
|
legrandmsangi8405
(5 years ago)
Daah so sad.. lkn Mungu ni mkubwa siku zote, humlipa mtu kulingna na nia yke. Una nia nzr na watanzania, Mungu amejaalia ukatoka salama salmin
|
|
lusekelokajigili4564
(4 years ago)
MO Mungu ni mkubwa Sana. Mungu akubariki sana
|
|
CreofasBenedicto
(2 years ago)
Hakika Mungu anajua una kazi bado Mungu abariki kazi Yako na huduma Yako na mke wako upendo Nchi Yako uzidi Amina
|
|
carolinenjiro41
(5 years ago)
Mungu Ni mwema Sana, wakati wowote, pole MO
|
|
nurumohammed1310
(2 years ago)
Pole sana Moo mungu akulinde akupe maisha marefu Akunusuru na mabalaa inshallah
|
|
nasseradel9784
(5 years ago)
Pole sana mungu bado anataka uishi
|
|
abdularuffin9308
(5 years ago)
Pole sana mo deuji allah amekulinda hakika ulimtengemea alllah ndiyo kakuokoa
|
|
Hawa-qc9fo
(2 years ago)
Hiii vidio inamiaka 4 toka itoke ila kama ww nipamoja na mm tulioangalia mwak huu 2024 weka like zako hapa
|
|
BasraLambert
(2 years ago)
mwenyeazi mungu akulinde akujaalie Afya tele inshaaallah azidi kukutia nguvu imaan na amani upendo tele na family yako yote na watanzania wote tuliokuwa tunakuombea kila siku kwa mwenyewe mungu inshaaallah
|
|
GafridPokela
(2 months ago)
pole kaka mungu akulinde akupe huishi maisha malefi,
|
|
safiaothman1098
(5 years ago (edited))
Mwenyezi Mungu Subhannahu Wata'ala atakulipia leo hapa Duniani na Kesho Akheyra, Aamiin.
|
|
abelahaley2471
(1 year ago)
Pole sana kaka ,Mwenyezi Mungu yupo pamoja na wewe anakulinda daima
|
|
SuperKayaya
(4 years ago (edited))
Pole kabisa. Bado na sikiya uchungu ndani ya sauti yako. Pole tena Bingwa.
|
|
RazaloIsaya-z6n2v
(2 months ago)
Mo deuji nakupenda muna wangu
|
Add comment
































































