Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
Phirmi official (Classic Vibe)
Description
Official account of the music artist,song writer and script writer as well video director
Subscribers
1.33K
Subscriptions
Recent Activity
|
Phirmi official (Classic Vibe)
Ninachoamini ni kwamba Kila mtu anapitia nyakati ngumu na nzuri na hiyo ndo ladha halisi ya maisha. Siku zote chagua kusimama upande wa kupambana usikate tamaaa my friend. #phirmi#phirmiofficial#mzalendo anaejipenda#tanzania.
|
||
|
Phirmi official (Classic Vibe)
Jamani Kuna watu wanashindwa kutamka jina langu la Sanaa. "Phirmi" Linatamkika fimi sinampango wakubadili hili jina chonde chonde naombeni mlishike.
Kingine nawapenda sana.
#mzalendoanaejipenda#phirmi#phirmiofficial#tanzania.
|
||
|
Phirmi official (Classic Vibe)
Mimi firimini Valerian mwacha A. k. A phirmi naahidi ya kwamba nitaendelea kupambana Hadi kileweke na kama unatarajia nitaacha haya mapambano basi nikuambie wazi kwamba mpango wako ni ngumu sana kutumia na utatimia siku ukiskia nimekufa ila ingali nipo hai nitapambana aisee.
#phirmi#phirmi official #tanzania.
|
||
|
Phirmi official (Classic Vibe)
Wadau wangu wanguvu tupate mda kidogo wakuvuta pumzi, alafu tuanze kupata nazi mpya za mwaka huu mpya.
Usisaha Ku subscribe kwenye channel yangu mpya link yake ya phirmi official ina tofauti kidogo na hii ya phirmi official (classic vibe) ila zote nitakuwa nazitumia.
|
||
Friends
Channel Comments
|
louisdutoit4267
(5 years ago)
Kazi nzuri Mzee baba zidishabidii kk
|
|
ClassicVibeworks
(5 years ago)
Napenda nakukubali support yen wadau
|
|
Mrrealmc2517
(3 years ago)
Nakubaliiii sana mwananguu umetisha saaana
|
|
andrewmichael8716
(5 years ago)
Komaa merody is quality brother
|
|
nassymapenzi4396
(5 years ago)
Haipingwi blood kalii Sana Yani chuma chumaa
|
|
Deodatulyimo
(9 months ago)
Hongeraaaa
|
|
ibrahimabdul5369
(5 years ago)
Pambana braza,tuko pmj
|
|
RabiKiria-oi8ts
(2 years ago)
Respect kaka mungu akubari kazi zako....
|
|
isaaccoster3990
(5 years ago)
Bloodline kazi nzur boi
|
|
muachafravour7058
(4 years ago)
Nakuombea wajina wangu
|
|
makariusmshimika3060
(3 years ago)
Mwamba sanaaa kakaaa
|
|
andrewmichael8716
(5 years ago)
Xanaa kak kumbe n ww
|
|
innocentkiriainnocentkiria6479
(6 years ago)
Sawa pambana kijana
|
|
amonkaiza9876
(3 years ago)
Kaz kubwaa
|
|
RabiKiria-oi8ts
(2 years ago)
Ngoma kali aise
|
|
israelbhai1340
(3 years ago)
Good sana kijana
|
|
gasperdotto3200
(6 years ago)
Nimeielewa kabsa
|
|
Deodatulyimo
(8 months ago)
|
|
chachandu8
(5 years ago (edited))
good hyoo
|
|
mworiapasko6639
(2 years ago)
|
Add comment






























