Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
Lawrence Ndosi
Description
Gospel Singer,Praise&worship Leader,Songwriter And Humble Minister In The Kingdom Of God.
Subscribers
1.4K
Subscriptions
Recent Activity
|
Lawrence Ndosi
Usipitwe na baraka hizi kutoka kwa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
na
@LawrenceYobuNdosi
|
||
|
Lawrence Ndosi
Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake
|
||
|
Lawrence Ndosi
Usisubiri watu wakutie moyo, wengine wanasubiri ukosee ndipo waseme "tulijua hafiki mbali". Ubarikiwe
|
||
|
Lawrence Ndosi
Karibu kusikiliza wimbo wangu mpya, unaitwa #SioKamaVile....Mungu akutane na haja ya moyo WAKO.
Welcome listen,like, share and Subscribe
|
||
Friends
Channel Comments
|
mmarymalinyi1113
(8 years ago)
Ubarikiwe sana ,wimbo mzuri na ni baraka kwetu na una pumzi ya Roho mtakatifu.
|
|
festondile2039
(8 years ago)
Barikiwa sana kwa huduma hii,wimbo mzuri,Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi
|
|
annasembo4760
(8 years ago)
Bwana Yesu azidi kukuinua mtumishi.still blassed!
|
|
paulinacosmas6355
(8 years ago)
Be blessed man of God
|
|
cleverkifaluka4337
(6 years ago)
Hongera sana baba lemu ubarikiwe mno kwa huduma njema hii
|
|
MinisterPolu
(5 years ago)
Wewe kiu yangu Tena msaada wangu
|
|
neemalesilwa7917
(8 years ago)
AMN kaka ndosi mungu azidi kukubariki
|
|
pastorbedondickson
(8 years ago)
Another hit from my own brother.
|
|
Mfinanga1976
(7 years ago)
Well done my son
|
|
enyndossi8894
(8 years ago)
Wimbo mzuri....hongera sana
|
|
vicktumaini2718
(8 years ago)
barikiwa sana
|
|
yahyahmaria
(6 years ago)
Wewe kiu yangu..
|
|
rebeccaebenezermagaba
(7 years ago)
Safi Sana WIMBO mzuri sana
|
|
elizabetheliya1592
(8 years ago)
YESU wewe kiu yangu
|
|
leviandosi1228
(8 years ago)
Ninaupenda sana huu Wimbo...Mungu akubariki na kukuinua akupe NEEMA ya kutunga nyimbo nyingi zaidi nzuri za kuabudu...Barikiwa sana mtumishi
|
|
MinisterPolu
(5 years ago)
Hallelujah hallelujah
|
|
dainasakatebela6528
(8 years ago)
Hongera sana kaka kazi nzuri
|
|
tinamuta8019
(8 years ago)
Mungu akubariki mpendwa
|
|
brightonmundah1030
(8 years ago)
Barikiwaa mtumishi
|
|
lightnessjoseph5608
(8 years ago)
Msaada wangu kiu yangu hongra kaka Law
|
Add comment




























