Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
sir_micky🎹🎧
Description
🎤 SIR MICK 🇹🇿
Gospel Artist | Songwriter | Worshipper
Asante kwa kunitembelea. Subscribe, Follow na ushiriki nyimbo zangu ili ujumbe wa Injili uwafikie wengi zaidi.
“Music with Purpose. Worship with Heart. Glory to God.” 🙏
Follow instagram ___Sir._mick & Tiktok ___Sir mick
Gospel Artist | Songwriter | Worshipper
Asante kwa kunitembelea. Subscribe, Follow na ushiriki nyimbo zangu ili ujumbe wa Injili uwafikie wengi zaidi.
“Music with Purpose. Worship with Heart. Glory to God.” 🙏
Follow instagram ___Sir._mick & Tiktok ___Sir mick
Subscribers
251
Subscriptions
Friends
Channel Comments
|
Sir_mi-n1j
(2 months ago)
️ MY ONLY ONE — Kama Mungu ni kila kitu kwako, comment “MY ONLY ONE ️” hapa chini. Niambie pia ni sehemu gani ya wimbo imekugusa zaidi. Usisahau LIKE + SUBSCRIBE!
|
|
stellakutta6513
(2 months ago (edited))
Yaani Wewe mtoto. Mjukuu wa Mama Stella. Hivi Leo umenikosha sana kwa kukuona kuwa Kumbe umekuwa kiasi hicho na umekuwa mbaba wa kutushika sisi wana familia. Ah! Asante Mungu kwa kutukuzia mwanetu. Hivi sasa niandikapo Waraka huu. Niko na Furaha sana Kwani nimeweza kusikia wimbo huu kutoka marekani na mzuri sana ambao ni Wewe umeutunga. Kumbe nawe umekuwa mwandishi mzuri Kama Mimi. Na una sauti mzuri Kama ya kwangu. Huko nyuma nilikuwa mwimbaji kama nini nilipenda kwaya. Lakini sikukaliwa kutunga wimbo au nyimbo. Lakini Wewe mwenzangu kweli kweli ni mwenzake ya yote. U mshindi Wewe. Nakupa Hongera sana mjukuu wangu. Nitaendelea kukusikiliza ukiimba hadi utakapo kuwa tayari na kutupa huu wimbo na kusikilizwa na kwa kila mtu. Nakupenda mjukuu wangu. Mungu akuzidishiye baraka zote. Na ninalo tumaini kuwa huo ni mwanzo tu uletauo maendeleo mema na makubwa mbele huko tuendako. Mungu akulinde na kukupa afya njema na units wa maisha. Nisalimiye wot. Hapo nyumbani. Waambiye kuwa Nawapenda wote kwa ujumla. Amen.
|
|
MagdalenaCharles-i5n
(1 month ago)
Mungu akubariki sana
|
|
BelindaMasoy
(1 month ago)
Ubarikiwe sanaaa, nice song
|
|
DidoUgen
(1 month ago)
Barikiwa mtumishi, nakusapoti toka Bunia
|
|
WinifridaMahola-h2h
(1 month ago)
MY ONLY ONE️
|
|
BenedictNgeliama-g9g
(2 months ago)
MY ONLY ONE
|
|
AntiaBembeleza
(2 months ago)
Mwenyezi MUNGU akubariki kwa nyimbo nzuri
|
|
PriscaRobert-ll9sk
(2 months ago)
Amen good song bro am blessed with the song only God is there for us all the time when we call he answers for time
|
|
EmmanuelSogoye
(3 months ago)
Balikiwa sana mpendwa kwa wimbo mzuli
|
|
SuzanaHosea-d7e
(1 month ago)
Wimbo mzuri...wenye kufariji
|
|
GraceSalum-w3o
(2 months ago)
Kazi nzuri hakika mungu ni kila kitu my only one
|
|
EstherjSanusie
(2 months ago)
Amazing good one bro
|
|
HAWAMSUNGU-x6v
(2 months ago)
You don’t just sing,you heal with your voice keep going
|
|
AngelPhilimon-v6w3w
(2 months ago)
Hongera sana Kwa uimbaji mzuri mwenyez Mungu atusaidie sana katika hatua zako zote za uimbaji mtumishi
|
|
WendelineBathromew
(2 months ago)
Mungu akubariki sana, kwa hakika wimbo huu ni mzuri na wa majira yake
|
|
bonisilegamede6381
(2 months ago)
Its a beautiful song,don't understand the language though, but God is our Only One Wise Loving Caring Father
|
|
elielijahmusangi-w5n
(2 months ago)
Amina
|
|
RechoBoniface-f8w
(2 months ago)
Mungu akubariki wimbo mzuri
|
|
AttipoeBenjaminBazil
(2 months ago)
GOD BLESS THIS SONG. A HIT
|
Add comment

