Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
Alva Boy
Description
Artists
ALVA BOY
Ndo Jina langu Leo kupitiya hapa utafaamu maisha yangu kwa kifupi 😑 Jina langu halisi ni chaleure ikiwa na maanisha mwangaza
Nilianza kusoma tokea mwaka 2009
Mpaka Sasa Nisha ai acha shule nilifika somo la tano secondari Nika acha shule ila sikuishiya pale nikawa tu nyumbani bila mishe mishe yeyote ile
Ukarasa wangu ulianziya hapa🙂
Nika Anza kufanya kazi ya mziki mwaka 2021
Off course sikuwa na kitu ilianza kama ajabu mi kuanza ku record nilikuwa na rafiki yangu mwisoniki tulikuwa nafanya bossing kitaani nailikuwa kama mzaa ila tulipo chukuliya mambo serious ndo hapo kila mtu akaanza kujitoa na leo kweli naanza kuona mwangaza mbele yangu🎼🎧👨🎓
Naomba sapoti yako ndugu yangu mana namimi piya Nina malengo yangu nasiwezi Kuya timiza bila sapoti yako🙏

Subscribers
281
Subscriptions
Recent Activity
|
Alva Boy
Mjini kuna mambo mengi Ila huwezi kuyaelewa kabla haufika🤬
|
||
Friends
Channel Comments
|
DjibrilAmani-h6c
(1 month ago)
Cool
|
|
SifaMuhindo-t6r
(2 months ago)
Hit kali
|
|
ZirajeÉlodie
(1 month ago)
Hit iih man
|
|
FreddyLebron-k3l
(1 month ago)
Eyoo big
|
|
DavidClovis-j7u
(2 months ago)
Cool bro
|
|
AlvaBoy-y8l
(1 month ago)
Naendeleya ku shukuru
|
|
AlvaBoy-y8l
(2 months ago)
Msisahau ku like naku share huu wimbo mana ni hit kali
|
|
GloireShukuru-j4y
(1 month ago)
Badkiller and jay
|
|
AlvaBoy-y8l
(2 months ago)
Sapoti zenyu ndo zitazo nifanya niwe juu zaidi🏾
|
|
Princebahati-j4o
(1 month ago)
Kk
|
|
SeraphMapendano
(1 month ago)
Msani kutoka congo kauwa kwenye wimbo wa jay #upwekeremix
|
|
FreddyLebron-k3l
(1 month ago)
|
|
CizaEveline
(9 days ago)
Congo bado kuna vipaji
|
|
GlorieuseGloria-w9z
(3 weeks ago)
Upwe
|
|
NellyMIRIAMN
(9 hours ago)
Cool
|
|
MwitoNantie
(2 weeks ago)
Kk jay iko wapi siakubebe te
|
|
RepruseLamama
(4 days ago)
5k tufike asa ba shabiki ya #alvaboy Na #jaymelody
|
|
zihindulabahati-k2i
(2 weeks ago)
Support ziongeye
|
|
MerveilleMerva-y2f
(2 weeks ago)
Ngoma inaendeleya nakupanda#Alvaboy
|
|
GodefroidBalibuno
(3 days ago)
Courage congolais
|
Add comment