Marmo Genius
Marmo Genius's Channel
 
 
Marmo Genius
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
Marmo Genius
Description
Jina langu ni "Maramo Lusato", maarufu kwa jina la kisanii "Marmo Genius". Ni msanii kutoka Buchosa, Mwanza, Tanzania. Nafanya muziki wa Afrobeat na Bongo Fleva, naandika nyimbo zenye ujumbe wa mapenzi, maisha na hisia halisi.

Lengo langu ni kuwafikia watu kupitia muziki unaogusa moyo na unaoburudisha. nyimbo zangu zinapatika kweny mitandao yote ya muziki. (All digital platforms worldwide 🌍)


🙏 Asante kwa kunitembelea. Usisahau Subscribe, Like, Comment na Share ili usikose kazi zangu mpya.
Subscribers
415
Subscriptions
Recent Activity  
Marmo Genius "shabiki Kaa Tayari kupokea fire nyingine Kutoka kwangu nikiwa nimemshilikisha MALE HB naamini mtaipenda na mtafrai 🎤🎧 (10 months ago)
 
 
Marmo Genius Heloo family, saiv nije nakitu gan kizul kitakacho kufanya uenjoy comment nione (1 year ago)
 
 
Marmo Genius Mashabiki zangu round hii nije na idea gani mnayo ipenda comment apo nione (1 year ago)
 
 
Friends
Channel Comments
Marmo_Genius (1 year ago)
Ni mstari gan umekubamba
SaliOpe (1 year ago)
Umejitahidi san
ZenVeeZeneration (1 year ago)
This is great
DeromaStar149 (1 year ago)
Good song
Hermatofficiel (1 year ago)
Courage
YONNYArt-x2x (1 year ago)
Good nifollow
IdssamNgatuma (1 year ago)
Love song nyimbo Kali sana
Indetournable_officiel (1 year ago)
GOOD BOY
DangerSideboy (1 year ago)
Courage brown
DiodoneChristiano (1 year ago)
Nice song
Good
Skatarboe (1 year ago)
X
Papro-w7e (1 year ago)
majatzofficialmusic (1 year ago)
Kaka mosita ujuz wako nibora sana
caralarosel-ub4xw (1 year ago)
Wow
Punjabi-m7v (1 year ago)
dinohtz (1 year ago)
makn
AlexandreSunjay (1 year ago)
Gooood
Pkmotovlogpk (1 year ago)
vesmile9522 (1 year ago)
Kaz nzur