Zorah
Zorah's Channel
 
 
Zorah feat. Angel Nyigu - Pinda (Official Music Video)
6,666
Zorah - Mashikolo (Visualizer)
6,666
Zorah - Mbula (Official Music Video)
3,453
Zorah - Naogopa (Official Music Video)
2,433
Zorah - Naogopa (Official Lyric Video)
1,726
Zorah - Nadeka (Official Music Video)
1,633
Zorah - Mwambie (Official Music Video)
5,666
Zorah - Nadeka (Official Lyric Video)
1,200
Zorah - Tunapendezana (Official Lyric Video)
933
Zorah - Haijafutika (Official Music Video)
933
Zorah - Radio (Official Music Video)
800
Zorah - Haijafutika (Official Lyric Video)
600
Zorah - Mashikolo (Live from Misole Village)
600
Zorah - Mshindi (Official Music Video)
600
Zorah - Pinda (Official Lyric Video)
333
Zorah - Mwambie (Official Lyric Video)
200
Zorah - Aibu (Official Lyric Video)
133
Zorah - Jikubali (Official Lyric Video)
133
Zorah - Kanichanganya (Official Audio)
66
Zorah - Mwanamke Jembe (Official Lyric Video)
66
The making of: NAOGOPA by Zorah (Studio BTS)
66
Zorah - Mshindi (Official Lyric Video)
66
Mitego ya Watoto wa Kariakoo #shorts
64
 
Zorah
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
Zorah
Description
Zorah is a Tanzanian recording artist, songwriter, and performer from Misole Village, Uyui District, Tabora Region 🇹🇿.

Signed to Kassu Music™, Zorah blends Bongo Flava with Afro-Pop, R&B, and global sounds to create emotional, modern music that connects deeply with listeners.

Managed and produced by DJ Kassu🎙️
Instagram: @djkassu

The name “Zorah” means Dawn 🌅 or Light💡 --- symbolizing new beginnings and hope.

🌍 Proudly representing Tanzania & East Africa.

📲 Connect with Zorah:
Instagram: @raj_zorah
TikTok: @rajzorah
Facebook: Raj Zorah / Zorah
X (Twitter): @raj_zorah

🎧 Stream all music here:
👉 https://linktr.ee/Zorah_

🔔 Subscribe for new music, visuals & behind-the-scenes content.
Subscribers
8.36K
Subscriptions
Recent Activity  
Zorah Hakikisha unabaki na msimamo wako💯 https://youtu.be/HpZMBXQ3m5w (1 month ago)
 
 
Zorah YOU BETTER WATCH YOUR BACK.. LINDA MGONGO WAKO. HALI NI MBAYA! #Mambaz24 https://youtu.be/HpZMBXQ3m5w (1 month ago)
 
 
Zorah 1 MILLION VIEWS | LUGHA SI KIKWAZO. MUZIKI NI HISIA ✅ Tulipoamua kurekodi #MASHIKOLO hatukuwa na uhakika wadau wataupokeaje bali kitu pekee tulichotaka ni kufikisha ujumbe wetu kwa uhalisia, bila kuiga sauti, lafudhi au tamaduni za wengine 🛖 Leo, zaidi ya watu milioni moja wametazama Mashikolo YouTube🎥. Wengi wao si 'Wasukuma', jambo linalothibitisha kuwa muziki mzuri haujalishi lugha iliyotumika📌 Tanzania ina zaidi ya makabila 120, kila moja likiwa na lugha, mila, ngoma na simulizi zake. Ninaamini tukivitumia kwa ubunifu katika muziki wetu, tunaweza kuijenga taswira ya kipekee ya Tanzania kimataifa na kuifanya dunia ijifunze kuhusu utamaduni wetu kupitia sanaa 🪕 MASHIKOLO ni zaidi ya wimbo. Ni ushahidi kwamba zile hadithi za vijijini kwetu, lugha na utamaduni wetu vinaweza kuvutia watu wengi kutoka ndani na nje ya nchi na kutangaza vivutio vyetu bila kutumia nguvu kubwa ya kifedha💰 Asanteni kwa kila View, Like, Comment, Share, repost, simu na ujumbe wa pongezi. Mmeifanya ndoto yetu itimie zaidi ya matarajio. Asante ‪@djkassu6207‬ kwa kunitengenezea muziki mzuri na kuniongoza katika kila hatua🫶 1,000,000 views. Hakuna shortcuts. Hakuna fake views. Hakuna Kiki wala Drama. Ni upendo wa watu na neema ya Mungu❤️🙏 Tanzania ina mengi ya kuuambia ulimwengu. Huu ni mwanzo tu🇹🇿🇹🇿 NB: Leo tunachinja mbuzi🐐 wale wa Tabora tunakutana mitaa ya Bachu, hakikisha unakuja na soda/bia yako🤪 #MASHIKOLO ‪@kassumusic‬ | WE MUST BE HEARD (5 months ago)
 
 
Zorah Baada ya kushiba ugali, maziwa na viazi😄💯 MASHIKOLO 👉 https://youtu.be/HpZMBXQ3m5w (6 months ago)
 
 
Channel Comments
RajZorah (1 year ago (edited))
Hello my people, Comment kama #PINDA imekubamba🏾🏾
justinmbaga2763 (1 year ago)
Uyu jamaa endapo ata push mziki wake vizur na tukimpatia support nzuri atafika mbali cz anasauti ya kipekee
sunguraally2456 (1 year ago)
Nilijipa sekunde 20 kuusikiliza huu wimbo ,but Kila nukta ya mstali ilinivutia ,mwisho nimeusikiliza na kutazama ote,,.Oyaa sio poa,Ngoma Kali sana,,,Key,voice mistari vyote gud...Oyaa Huyo nyugi ni dada danger
Ezzordancer321 (1 year ago)
Hii ngoma ni kalii sanaa na nimemuona nyigu humu ikabidi niisikilize mbaka mwisho, mzigo umenyooka babu
Kiyama-g8f (4 months ago)
nyigu ana miguu ya kutoa bao la nje htari sana huyu moto,ana ttako nzuri sana kulitafuna bila kinga,mamae sana
StanzaMata (1 year ago)
Listening from Rwanda , wimbo uko motoooo
Alphoncepius-g9t (2 months ago)
Nilianza kuelewa ngoma ya Nadeka nikajua umebahatishaa Saiv hili goma fire Wacha nibsubscribe kabisaa respect kwako jamaaa
Jclevertz (1 year ago)
Noma sana umetisha kaka kazi zuri sana
MtungujaRobert-if1jd (2 months ago)
Asanteeeeer
amanintevi8249 (5 months ago)
Unaimba kama jamaa wa Kenya anaitwa Masauti
thobiasmaningo2299 (1 year ago)
Kama masauti
Seletz-ec6op (1 year ago)
Kalii sana kaka angu nzira uandishi mkubwa Sanaa
chileofficil (1 year ago)
Umetisha wa nyumban mwenzangu mboka manyema
esquaredoublee2497 (1 year ago)
Safi sana kaka
AllyChianda (1 year ago)
Waziri wa mambo ya burudani ndani ya nchi
laurent993 (1 year ago (edited))
Wimbo mzr sana
NaftaryLeonald (8 months ago)
Zorah unajua sana bro
vicentflavour9992 (1 year ago)
So mzuri sana kwa ushauri ila kuimba unajua sana tena sana tafuta mtu akuandikie ngoma uimbe kama super star unaimba kama underground bt chukua hii unajua sana