Bahati Simwiche
Bahati Simwiche's Channel
 
 
Bahati Simwiche
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
Bahati Simwiche
Description
Tanzania Gospel Singer.
Subscribers
1.17K
Subscriptions
Friends
Channel Comments
ruthmwasomola655 (4 years ago)
Wooo wimbo mzuli sana Mungu azidi kuku baliki kaka angu
sophiamagobeko995 (1 year ago)
Huu wimbo umenibariki mno
evequeen9157 (3 years ago)
All the best my brother
JESUSFAMILYTZ (4 years ago)
Wow ongera Sana ubarikiwe tunakupenda
rejinaglory (1 year ago)
Asante kwa wimbo mzuri
zabronkamwela5142 (3 years ago)
Ubarikiwe.wimbo.nzuri.sana
wemajsimon8559 (3 years ago)
Umethibitika kweny Maisha Yangu Bwana
NTUJINDAKIVEVO-j9b (1 year ago)
hongera kaka, huo upako ni wa kipekee
musalufuke_1130 (4 years ago)
Wewe ninguzo balikiwa sana mtu wa mungu
teresiajonas5500 (3 years ago)
Ubarikiwe sana mtumishi kwa Wimbo mzuri wa kuabudu
upendowj4937 (3 years ago)
Mungu azidi kukuinua VIWANGO VYA Juuu Wimbo Mzuri sana
teddykamoga8791 (4 years ago)
Kwakweli sijaona mwingine zaidi ya YESU.
eliabariki4687 (4 years ago)
Amen amen, Nakusifu Bwana uliethibitika juu ya maisha yangu.
braitonmajimoto8870 (4 years ago)
Ongera Sana mtumishi Kwa Wimbo Mzuri Mungu Azidi kukupa Nyimbo zenye Upako zaidi na Zaidi
tkaleke (4 years ago)
Mungu atukuzwe kwa wema wake, wimbo mzuri sana
jemamwankugha (3 years ago)
Hongera sana wimbo mzurii ujumbe uko vzr
johnkamendu1647 (3 years ago)
Unastahiri Bwana kuabudiwa na kusifiwa
GeaziyTzobey (2 years ago)
Simwicheee boy very song
asnathmathias (4 years ago)
Halleluyah ....barikiwa sn mtumish kwa kaz nzur ya Mungu