Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
Eagle master Og
Description
🎥 Under JAYSON FILMS
🎬 Actor | Movie Story Writer ✍️
🎭 Available for Acting & Story Writing
🎶 Music & Comedy Artist 🤝 Collaborations
📩 Contact: 0785 494 334 | 🇹🇿 Tanzania
🎬 Actor | Movie Story Writer ✍️
🎭 Available for Acting & Story Writing
🎶 Music & Comedy Artist 🤝 Collaborations
📩 Contact: 0785 494 334 | 🇹🇿 Tanzania
Subscribers
363
Subscriptions
Recent Activity
|
Eagle master Og
Subscribe 1000
“Hii si picha ya nyumba tu kwangu… ni ndoto yangu. 🥹🏡❤️
Natamani siku moja nimjengee Baba yangu nyumba nzuri kama hii, ili katika maisha yangu nimrudishie hata sehemu ya upendo na malezi aliyotupa. Mama yangu tayari ameshafariki, na moja ya vitu vinavyonipa nguvu kuendelea kupambana ni kumuona Baba yangu akiwa na furaha katika nyumba yake mwenyewe. 🙏❤️
Huenda leo sina uwezo, lakini naamini siku moja nitafika. Mungu anipe nguvu na riziki ya kuitimiza ndoto hii. 🤲🦅
Baba, hii ni ahadi yangu kwako. ❤️🏡”
|
||
|
Eagle master Og
HJe, ni kitu gani ungetamani kusikia kwenye wimbo wangu unaofuata? Lete maoni yako hapa! 👇"
i everyone, welcome to my new YouTube Community! Now you can post on my channel, too. To get started, tell me in a post what you'd like to see next on my channel.
Visit my Community: youtube.com/@igomaster-c3v/community
|
||
|
Eagle master Og
Hi everyone, welcome to my new YouTube Community! Now you can post on my channel, too. To get started, tell me in a post what you'd like to see next on my channel.
Visit my Community: youtube.com/@igomaster-c3v/community
|
||
|
Eagle master Og
MAMA YANGU | SEHEMU YA 02 🦅🔥
Hii ni story ya kusisimua kuhusu ukweli uliofichwa ndani ya familia.
Je, mama huyu anaficha siri gani? 😢
Tazama mpaka mwisho ujue kilichotokea…
🎬 Tazama
👉 Comment “PART 03” kama unataka iendelee
👉 Like na Subscribe kwa Eagle Master Films
👉 Share kwa marafiki zako
|
||
Friends
Channel Comments
|
RamadhaniBundara-w7i9r
(7 months ago)
Kazi kali
|
|
igomaster-c3v
(7 months ago)
“Nipe maoni yako
|
|
PagimatiasBluji
(7 months ago)
Kali sana
|
|
HarsamTz
(7 months ago)
sana kaka
|
|
MussaSabuni-pd1gq
(6 months ago)
Good job
|
|
HamisMachera-c4b
(7 months ago)
|
|
igomaster-c3v
(7 months ago)
“Finally imefika hii ni yangu mpya, support yenu ni muhimu sana ️”
|
|
MairaMoses
(6 months ago)
utafika tu
|
|
MasungaShaha
(6 months ago)
Finali
|
|
ChiefToxic
(5 months ago)
Sanaaa
|
|
Rutu-b3z
(1 month ago)
|
|
JlovekhanBulabo
(3 months ago)
|
Add comment
























