Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
Modern
Description
Subscribers
1.09K
Subscriptions
Friends
Channel Comments
|
hurumamwakasege3871
(8 years ago)
Oyeaaaaaaaa kaliiiiii kinomanomaaaaaa mliorudia rudia kama Mimi gonga like hapa
|
|
vaskobahatimwansengo5724
(6 years ago)
Kaka yangu huyo namm najivunia kua na ndungu anae msifu mungu mungu akubariki kaka.
|
|
dianaluigi4620
(7 years ago)
Mungu azd kukuinua kaz ni njema
|
|
musically255
(8 years ago)
nimeirudia mara kali sana jaman
|
|
upendomrema3547
(7 years ago)
good song,nice voice and appearance
|
|
balthazarsaluo8751
(9 years ago)
ashukuriwe mungu mtumishi kwa wimbo mzuri naona kutiwa moyo wa kusonga mbele
|
|
softmantv2404
(8 years ago)
Matapishi yanini ,majaribu mtihani niogope kwanini nikipimo cha imani hatareeeee sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
|
|
rehemawandali
(8 years ago)
Mama nkone unanibariki sana na lisauti lako LA kimbingu
|
|
fabianmodern6752
(8 years ago)
ahsanten ndugu zangu kwa kuendelea kunitia moyo wa kusonga mbele mungu asiwapungukie nimepita na kusoma comments zenu naona jins ambavyo mnaonyesha upendo na kuonekana kuniunga mkono kwa kunitia moyo mbarikiwe na bwana
|
|
modern9311
(8 years ago)
ahsanteni jaman kwa comments zoteeee mungu awabariki tumeziona tumezisoma hamjakuwa nyuma katika huduma hii ahsanteni sana kwa mawazo yenu na kila kitu kwa kila mtu alicho coment
|
|
fadhilimwandete6721
(8 years ago)
Nasikiliza huku nashushia
|
|
kacheali4777
(8 years ago)
Amen Amen Mama upendo n kk fabian God blz u all
|
|
GodMillion-k6v
(2 years ago)
Very nice
|
|
ezrayavan7686
(6 years ago)
Aise tisha sana broo Mungu azid kukuinua
|
|
isayamwashibanda5819
(3 years ago)
Good sana bos wangu
|
|
gwakisamwakilema
(7 years ago)
Hongera sana kazi bora
|
|
mbilinyiisaac9310
(7 years ago)
Kazi nzuri sanaaa kaka
|
|
pintymelodytz913
(6 years ago)
Safi sana mzee
|
|
kasyupamwakibibi1615
(8 years ago)
ongera sana
|
|
eliasbmbushi4490
(7 years ago)
|
Add comment














