Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
GeorDavie TV
Description
GeorDavie TV channel inafichua siri na chanzo cha matatizo, mapito na mitihani unayokabiliana nayo katika maisha yako ya kila siku ikiwemo mikosi, balaa, nuksi, nyota yako kuibiwa kupitia biashara, kazi au mahusiano uliyowahi kujihusisha nayo. Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr. GeorDavie, anakupa nafasi ya kufunguliwa unapoangalia video hizi! Sambamba na ufungulivu wa maisha yako utapata nafasi ya kumsikiliza akifundisha mafundisho mazuri na muhimu ya kiroho yatakayokufaa sana maishani mwako. Tafadhali anza kwa ku-Subscribe ili usipitwe na baraka hizi kila tunapozileta kwako. Karibu!
The World's Renowned Author of: "KEEPING UP WITH GOD's KINGDOM GOVERNMENT STANDARDS!!!"
The World's Renowned Author of: "KEEPING UP WITH GOD's KINGDOM GOVERNMENT STANDARDS!!!"
Subscribers
273K
Subscriptions
Recent Activity
|
GeorDavie TV
The anointing you celebrate is the anointing that can work for you! ~ Senior Prophet Dr. GeorDavie
|
||
|
GeorDavie TV
NENO LA KINABII LA MWAKA 2024 KUTOKA KWA NABII MKUU MHE. DKT. GEORDAVIE!🔥🔥🔥🔥
#2024
#PANDA VIWANGO ONGEZA THAMANI!
#KAULIMBIU: JENGA UWEZO!
|
||
|
GeorDavie TV
KWA BAJETI HII UTAKULA NA KUSHIBA!
KWA BAJETI HII UTAVAA NA KUPENDEZA!
KWA BAJETI HII MUNGU ATAKUJALIA KUNAWIRI NA AFYA ISIYOTIKISIKA!
KWA BAJETI HII UTALIPWA MADENI YOTE UNAYODAI!
KWA BAJETI HII UTANUNUA VIWANJA!
KWA BAJETI HII UTAJENGA!
KWA BAJETI HII UTAKUWA NA MTAJI!
KWA BAJETI HII UTASTAWI KATIKA KAZI ZAKO!
KWA BAJETI HII UTAKUWA NA KIPATO KIZURI!
KWA BAJETI HII UTAFUNGUA BIASHARA NAYO ITAIMARIKA!
KWA BAJETI HII UTALIPA MADENI YOYOTE UNAYODAIWA!
KWA BAJETI HII UTAKUWA NA PESA YA MATUMIZI!
KWA BAJETI HII MOYO WAKO UTAJISIKIA RAHA NA FURAHA!
KWA BAJETI HII UTANUNUA USAFIRI WAKO!
KWA BAJETI HII UTAFANYA SHUGHULI ZA
MAENDELEO MBALIMBALI!
KWA BAJETI HII UTALIPA ADA, KODI NA BILL MBALIMBALI!
KWA BAJETI HII UTALIPA WAFANYAKAZI WAKO!
KWA BAJETI HII UTASAFIRI KWA FAIDA MAENEO
MBALIMBALI ULIMWENGUNI!
|
||
|
GeorDavie TV
NABII MKUU MHE. DKT. GEORDAVIE AKIONGOZA MAELFU YA WATU KUWEKA BAJETI ZAO ZA MWAKA 2024 ILI WAWEZE KUPOKEA DUA MAALUM.
KILA TAREHE 26 DISEMBA NABII MKUU AMEKUWA AKIWAONGOZA WATU KWENYE IBADA YA SIKUKUU YA KUKUSANYA AMBAPO WATU HUANDIKA BAJETI ZAO ZA MWAKA UJAO NA NABII MKUU HUTAMKA DUA MAALUM KWA AJILI YA KUPITISHA BAJETI ZAO!!
|
||
Friends (1)
Channel Comments
|
adotv6422
(7 years ago)
wanaume wabaya msichana mrembo namna hii kaachwa na katoto kaaaah
|
|
mwesigwaabdurahim8590
(7 years ago)
Nimeguswa mpaka nimetoa machozi, Nabii Mungu akubariki Uishi miaka mingi duniani
|
|
deborahkiswaga9744
(5 years ago)
Ee Mungu niponye na kubariki kazi zangu maisha yangu ya shida nisaidie Baba
|
|
abelmwakifwamba9243
(7 years ago)
AMEN AMEN AMEN BABA NAZIDI KUPOKEA KUPITIA HAYA MAOMBI YAKO PAMOJA NA SHUHUDA HAKIKA MUNGU NI MKUU NA WA REHEMA
|
|
nebatmwangomba8427
(7 years ago)
Baba GeorDavie ahsante kwa kazi njema Yesu aendelee kukulinda kazi yako ipo wazi hata mbingu Imekukubali
|
|
shishismile1973
(7 years ago)
Amen, aki nitafika kwa huyu Nabii namkubali kabisa, may God bless you more and more, i believe God will open my way
|
|
sophiarajab5476
(7 years ago)
Pole madiha,nimejikuta nalia kwa mateso yako,Mungu akusaidie mdogo wangu.
|
|
nadiasuzzy9410
(7 years ago)
This is so touching ooo my God little girl mchungaji mungu azidi kukubaliki
|
|
courtneywelch6170
(7 years ago)
I am so so touched by her story , may she be annoiinted, n be blessed n the family by de Almighty ,
|
|
sylviaaiton681
(7 years ago)
Mungu akutende mema Daddy, pray for our family and my husband too
|
|
grantler1726
(7 years ago)
I reside in Europe. Iam touched about her sufferings,she`s too Young and Looks very intelligence and organised. Iam willing to donate the sum of 100 Euros for her start up.Let me know how.!!
|
|
emmanuelassaph7813
(7 years ago)
Baba napenda kaziyako Mungu wako awe Mungu wangu
|
|
imaniamani7671
(7 years ago)
Bwana YESU asifiwe nabii wa MUNGU.
|
|
giftqueenandwizzking4194
(7 years ago)
Amen Amen oh lordy save me too please
|
|
alinenduwayezu1829
(5 years ago)
Niko Murundi nabafwatilia Leo hi nafurahi na kazi zetu sana nataka number zetu iyo kanisa fasi gani uko Tanzania naomba mniyelezey Asanta mungu aba bariki sana
|
|
annahlumumba2513
(5 years ago)
Mungu nimwema nabii naomba namba zako hats meme ninamatatizo
|
|
kimsamson6149
(7 years ago)
Dah Mungu anatenda
|
|
mayjohn3760
(7 years ago)
I am truly inspired...this is so touching
|
|
happytz6190
(7 years ago)
Asante mungu kutuletea nabii Davie shetani hana nafasi tena
|
|
fortnataangelo4805
(7 years ago)
Nimempenda alivo mchangamfu na mzuri,, Mungu mwenyewe amrehemu,,,, ningekuwa mwanaume ninge muoa,
|
Add comment









































