GeorDavie Maarifa
GeorDavie Maarifa's Channel
 
 
MUNGU,PESA NA MAPENZI.
200
TABIA 8 ZA KUACHA ILI UFANIKIWE MAISHANI.
133
GeorDavie Maarifa
66
"Danga"
66
UJUMBE #1 KWA VIJANA - Dr. GeorDavie
66
MASLAY QUEEN ACHENI HIZI TABIA
60
USIACHE NDOTO YAKO IFE!!!!!
59
UJUMBE #2 KWA VIJANA (Animated)
58
 
CRYPTOCURRENCY
 
MUNGU,PESA NA MAPENZI.
200
TABIA 8 ZA KUACHA ILI UFANIKIWE MAISHANI.
133
GeorDavie Maarifa
66
"Danga"
66
UJUMBE #1 KWA VIJANA - Dr. GeorDavie
66
MASLAY QUEEN ACHENI HIZI TABIA
60
USIACHE NDOTO YAKO IFE!!!!!
59
UJUMBE #2 KWA VIJANA (Animated)
58
Slay QueenEp.2
52
UWEKEZAJI MTANDAONI!
10
LEGACY - Short Film
9
NAMNA YA KUHIFADHI BITCOIN.
9
GD BRAND AMBASSADORS POINT NAMBA 8
8
CRYPTOCURRENCY KISHERIA
5
HISA Vs BITCOIN
4
 
GeorDavie Maarifa
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
GeorDavie Maarifa
Description
GeorDavie Maarifa Channel inakupatia madini (Ujuzi, Maarifa, Ushauri, Uzoefu, Mbinu) muhimu ili kukuwezesha kuvuka vivuko vingi katika maisha na kukupa mwangaza kutowesha vikwazo mbali mbali vinavyokuzuia kufanikiwa maishani.

Dr GeorDavie Nje na kazi zake ni Mwalimu wa Falsafa za Maisha,Lecturer,mentor,Life Coach,Author,Recording Engineer PRO na Media personality ambaye kupitia ujuzi na maarifa ya maisha aliyonayo wengi wamefaidika na kuona nuru mpya maishani.

Tafadhali kama umependa gonga "LIKE" na pia usisahau ku-Subscribe, kubonyeza kikengele na kushea madini haya! Asante na Karibu!
Subscribers
3.56K
Subscriptions
Friends
Channel Comments
sweetylyimo3462 (5 years ago)
Kweli baba hii ndio huduma,Napenda sana mafunzo yako ya hekima ya Hali ya juuu,wewe baba wewee akiamungu umenitoa mbali mungu azidi kukupa maisha marefu ,
marianajoseph1892 (3 years ago)
Baba nakubaliana sana. Hata Mimi nachukia mtu mnafiki.
GonsaluaMbunda (1 year ago)
Namkubali huyu mtumishi sana
longututitajiri1426 (5 years ago)
Mimi ndio kabisaa sitoki hapa hapa maali ni sahihi patakatifu sana️️
samwelmollel602 (4 years ago)
Baba nakupenda
samwelmollel602 (3 years ago)
Amina baba
elizabethmambai2072 (5 years ago)
Nimeamini mambo yangu yatanyuoka amen
selinasamsonnkone673 (4 years ago)
Baba naitaji maombi yako mimi ninatatizo kubwa nilikuwa muimbaji nyota nilikuwa nabiashara lakini nimefilisika madeni yamekuwa mengi hata kodi ya nyumba inanichanganya nibada ya kupigwa chake ya kichawi nasali ngurumo mwanza Kanyama lani hata nauli ya kwenda huko sina nimehalibikiwa kabisa maisha watoto wangu wamefukuzwa shule mambo magumu sana kwangu naitaji maombi yako
fidejohn-te1xm (3 years ago)
Baba unafundisha mpaka mtu anaelewa
augustmshanga7540 (5 years ago)
Ana heri mtu anae kufatilia na kushika maneno yako kwa makini katu hatopata madhara ya gafla
John-m4n9h (1 year ago)
Heshima si yako ni mungu
japhegipson863 (5 years ago)
Naomba mawasiliano yako mtumishi
elvinakahindibaya5799 (5 years ago)
Aaah! Haki ya Mungu baba nakupenda sana
beatricemunisi7891 (3 years ago)
Beautiful Man of God nimecheka sana
kimbalijez1797 (4 years ago)
Nakupenda sana baba namaliza mb kwajili yako baba
RukiaAthman-z2o (1 year ago)
Kwel baba ww ni mteule sana
deodatusmramba639 (5 years ago)
Dah! Umenijua aisee
selinawilliam1596 (4 years ago)
Mungu akisema neno akuna wa kupinga amahakika mungu kakupa baraka nawewe unazitumia kuombea watu na wanapona na kubarikiwa
dailantz4073 (2 years ago)
Nabii mkuu mwene mamlaka.yakweli hakuna kama wewe wanao kusema wakati wao hata tone.hawa kufiki kwamiujiza yakwe mimi mwenyewe ni meshudiha kwangu waje wajifuze kwako kwanza manabii ote na na viongozi wadini kwa sababu wao hawa wezi ndomana wateseka