Vjkesa smart cutting
Vjkesa smart cutting 's Channel
 
 
Vjkesa smart cutting
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
Vjkesa smart cutting
Description
Welcome to my channel don't forget to subscribe my channel thank you
Subscribers
84
Subscriptions
Recent Activity  
Vjkesa smart cutting Haya sio MABANDA YA NGURUWE ni airport ya KIGOMA. Hapo ndio anaposhukia MAKAMU WA RAISI kila anapoenda jimboni kwake. Uchafu kama huu ndio tunaambiwa “Mama hana deni”. Stand za bus mfano ABC ni nzuri kuliko airport ya KIGOMA. Uwakute sasa kwenye UCHAWA wanapiga kelele kama vinguruwe ambavyo vinahasiwa. #TUTAKUWEPO🫵🏾😎 (1 year ago)
 
 
Vjkesa smart cutting Nje ya MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM imepigwa "No reforms no election" bila woga. #NoReformsNoElections #TUTAKUWEPO🫵😎 (1 year ago)
 
 
Vjkesa smart cutting Mbunge wa Embakasi East @he.babuowino na yeye kaungana na Waandamanaji wa Gen-Z. Hii ndio faida ya kuwa na WABUNGE ambao wanajua heshima yao ya UBUNGE inatoka wapi. BANU OWINO Ameungana na wananchi kuandamana kwasababu ndio watakaoamua arudi bungeni au laah. Bongo wabunge hawapo upande wa wananchi na wameamua kuwa MACHAWA WA RAISI kwasababu ndie anaeamua warudi bungeni au wasirudi. Hiyo ndio sababu ambayo inatufanya tudai #NoReformsNoElection Tunataka WABUNGE ambao wataungana na w/nchi kuiwajibisha SERIKALI na sio MACHAWA wa serikali. #NoReformsNoElection #maandamanowednesday #TUTAKUWEPO🫵🏾😎 (1 year ago)
 
 
Vjkesa smart cutting Siasa za SHIGONGO nyepesi sana.🫵🏾😂 Yani ubunge wake wote alitoa ahadi ya kuleta T-shirt na ametimiza. Anaomba ridhaa aende tena BUNGENI. #TUTAKUWEPO🫵🏾😎 (1 year ago)
 
 
Friends
Channel Comments
There are no comments for this user.