Vixer tz
Vixer tz's Channel
 
 
Vixer tz_situlii_-_official-lyrics
800
Vixer tz_Natamba_official video
333
Vixer tz_Natamba_Official lyrics
133
Vixer tz_TULIKOTOKA_-_(official_audio)
44
 
Vixer tz_situlii_-_official-lyrics
800
Vixer tz_Natamba_official video
333
Vixer tz_Natamba_Official lyrics
133
Vixer tz_TULIKOTOKA_-_(official_audio)
44
 
Vixer tz
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
Vixer tz
Description

VIXER TZ ni msanii wa muziki kutoka Tanzania aliyeanza safari yake ya muziki jijini Mwanza, akiwa na ndoto, kipaji na kiu ya kufikisha muziki wake kwa watu wengi zaidi.
Akiwa na upekee katika uandishi na uwasilishaji wa nyimbo zake, VIXER anajikita zaidi katika muziki wa mapenzi, akitumia sauti na ujumbe wake kugusa hisia za mashabiki wake.
Kupitia baadhi ya kazi zake, ikiwemo wimbo "SITULII", VIXER ameanza kujenga jina na kupata mwitikio mzuri kutoka kwa mashabiki wa muziki.
Kwa sasa, VIXER yupo chini ya usimamizi wa COLIDYA MUSIC, ambao unasimamia safari yake ya kimuziki, kukuza kipaji chake na kujenga brand yake ndani na nje ya Tanzania.
Safari bado inaendelea! Hii ni mwanzo tu wa safari ya VIXER kuelekea kwenye mafanikio makubwa zaidi katika muziki.
SUBSCRIBE kwenye channel hii ili kupata nyimbo mpya, video za muziki, behind the scenes na updates zote kutoka kwa VIXER TZ
VIXER TZ – MUSIC THAT SPEAKS TO THE HEART. ❤️

Subscribers
804
Subscriptions
Friends
Channel Comments
SoniaLast-w7t (11 months ago)
Umetisha
enerySalvatory (1 year ago)
hongera
PaschalSadick-s9j (1 year ago)
we dgo ni mkali
Fubguaemai (1 year ago)
Good work
MudyMudy-p3s (11 months ago)
SoniaLast-w7t (1 year ago)
Apa nahis umemaliza kila kona ya moyo wangu vixer
Brackmambatz (1 year ago)
Aise sopoa kaka
SalmaPonera-v1d (1 year ago)
Nice
SophiaIssa-l2n2h (1 year ago)
BLACKBOY_25 (1 year ago)
Hii najua ni kali hata kama watu hawatasapoti ila iki ni chuma kikali sana wadau tumsapoti dogo letu
JosephLugobi-w1q (1 year ago)
Naqbal kk
MacMilly14 (1 year ago)
Always label yetu ya Love Melody Baby(LMB) haina kazi chafu....yan ni moto tu kwa mstar
FrankPatrick-z9p (1 year ago)
Umetisha sanaaa
JumaIssa-k6m (3 months ago)
Umetisha
JosephEmily-z3w (10 months ago)
Kaka unajuwa sanaa
KelvinIbrahim-j5l (1 year ago)
kelgon_Tz (1 year ago)
HII NDO KAZI FAM...NISIONGEE SANA TUKUTANE TIKTOK KULE
Dannyswax002 (1 year ago)
Hit song
WATAKAA66 (1 year ago)
Unyama San kijan ingoma ni Kal San mwamba una wezi ️
XixoEdouards (1 year ago)
Kazi nzuri