mary limo
mary limo's Channel
 
 
NAIONA KESHO by Mary Limo Feat. Aniset Butati
2,133
Mary limo - Mwisho Jana Official Video
800
Mary Limo_Alimaliza (Official Music Video)
266
Jina la Yesu by Merry Limo | Official video
133
Ushuhuda by Mary Limo - Swahili Gospel Music
133
Dunia Tunapiata by Mary Limo #MaryLimosongs
66
Mary Limo_Atatenda tena ( Official Audio )
66
Mary Limo_Anaweza (official Audio)
66
Mary Limo_Nani (official Audio)
66
msemaji wa mwisho by #marry limo
64
Usinyamaze by Mary Limo (official Audio)
47
Mary Limo_Alimaliza (Official Audio)
32
Mary Limo_Sio Mimi (official Music Audio)
30
Mary Limo_Sina Muda_ (Official Video)
30
Gospel hits by mary Limo Mwisho Jana
27
 
mary limo
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
mary limo
Description
Naitwa Mary Limo namtumikia Mungu kupitia uimbaji. Hii ni Channel maalumu ambayo napakia nyimbo zote za videos na Audio ninazoimba katika kumtumikia Mungu aliyeziumba mbingu na nchi. Nakuomba niunge mkono kwa kazi ya Mungu, Subscribe, Share videos, Like na Comment is ziwafikie watu wengi zaidi; Nawe utabarikiwa.
Subscribers
1.97K
Subscriptions
Recent Activity  
Friends
Channel Comments
JohnNgaye (3 years ago)
Kwa wimbo huu nimepata nguvu yakuendelea mbele hata watu wakinikataa kesho yangu ipo
JesanRubuye (4 months ago)
Hongera sana kwa wimbo mzuri Bwana aikuze huduma yako
EliwadaKikoti (2 years ago)
Kwer naiona kesho ya heshima yangu
erickmlowezi2939 (4 years ago)
Naiona kesho ya heshima yangu" Mungu akubariki dada
DaudiNgomeni-v8f (5 months ago)
Naiona kesho ya heshima yangu.
emmanuelmwandu.3126 (3 years ago)
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Ujumbe mzuri sana ndani wimbo huu
michaelkamtupe1970 (4 years ago)
MARY LIMO NA ANISET BUTATI MUNGU AWABARIKI SANA
silasmanyenze8894 (2 years ago)
Mungu akupe Neema zaidi na zaidi katika kizazi hiki na vizazi vijavyo Huduma yako ikumbukwe kwa kuwafaa wote wampendao Bwana
esterjohn1731 (4 years ago)
Naiyona kesho Ya heshima yangu ... duuh huu wimbo umenipa nguvu na kunibariki kabsa zaidi..
michaelkamtupe1970 (4 years ago)
WAOOOO MUNGU AWABARIKI SANA WIMBO HUUU NIWA KIWANGO
josephinemumasaba (4 years ago)
Naiyona kesho ya hesima yangu wiimbo mzuri sana barikiwa sana dada yangu
amosimgeni (4 years ago)
Ameeen Ubarikiwe Mno Mtumishi kwa Huu Wimbo , Umenibariki Mno
odaseston (4 years ago)
Mungu akupeleke viwango vingine dada kwa kupitia wimbo huu mzuri
kassebo (3 years ago)
Wimbo mzuri Sana mtumishi
vailethmagwisha4071 (4 years ago)
Amina MUNGU azidi kuwatumia viwango na viwango,️️
juliusmgolitv6830 (4 years ago)
Huu wimbo nilikuwa nauona tu kumbe ni mzuri hivi
Pauljimson254 (3 years ago)
Kunalo tumaini kwake Mungu
AtangaWilfred-tl4uv (9 months ago)
Ubarikiwe sana mtumishi mpaka ushangae
joycezakari (4 years ago)
Amen
martinakyoo148 (5 months ago)
Good work man of God,be blessed