MTANGA TV
MTANGA TV 's Channel
 
 
NIMWABUDU NANI PRAISE TEAM TAG MASASI MJINI
66
REBECCA KILUFI_SONG WEMA WA MUNGU
57
TUTASALIMIANA NA BWANA YESU MBINGUNI
37
Amapiano ~MASASI STAND-UP (MASASI TOUR)
33
KIAPO CHA PAPA LEO XIV )VATCANI HIKI APA
27
 
MTANGA TV
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
MTANGA TV
Description
SUBSCRIBE CHANEL HII YA MTANGA TV KWA MATANGAZO NA HABARI NJEMA ZA UFALME WA MUNGU NA ZAKUAMINIKA NA HABARI ZA KIJAMII NI KITUO PENDWA CHA MTANGA TV online 📺 "Pekeake"
Subscribers
1.59K
Subscriptions
Recent Activity  
MTANGA TV Utukufu wake ujaze maisha yangu evangelist Yusuph George (2 days ago)
 
 
MTANGA TV SI YA KUKOSA HII MKESHA MKUBWA WA FRESHERS IJUMAA YA TAREHE 27 MWEZI HUU WA 11/2026 DARESALAM IMEJAA SIFA ZA MUNGU WETU (3 days ago)
 
 
MTANGA TV Coming soon team kutoka masasi (6 months ago)
 
 
MTANGA TV KUNDI KUBWA LA SANAA NA UIGIZAJI WANAFANYA VIZURI SANA WAPO MASASI MJINI WANAWAKARIBISHA WOTE WAIGIZAJI MNAOTAKA KUJIUNGA ,KUWAPA SAPORT NENDA YOUTUBE CHANEL SEARCH NICE MIDEA UTAONA KAZI ZAO USIACHE KU SUBSCRIBE CHANEL YAO (6 months ago)
 
 
Friends
Channel Comments
JumaSanani-ih8is (1 year ago)
Hiyo kazi ilishafanywa na Tume ya Warioba ya kukusanya maoni chini ya Utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete.
SaidModh (1 year ago)
Mh yaani unafanya kama vile unaoongeanao ni watoto wadogo.
MusaShafii-e4v (1 year ago)
Kweli kabisa Rais Dkt Samia, katiba ni mali ya Tanzania sio wanasiasa, kwanza tuijue katiba ya zamani, #TanzaniaKwanza #katibanasheria #MatokeoChanya #SisiniTanzania #tanzaniabora.
SrsalvinaEmilian (1 year ago)
Mama Samia Chapa kazi.
MussaHassan-f1e (1 year ago (edited))
Kona kona za nini mama? Tunataka katiba ibadilike tumechoka kupelekwa kama mang'ombe, watanzania tunaishi kama misukule tu kila kitu NDIYO ukisema HAPANA umekwisha ndo nini sasa!
Mwan927 (1 year ago)
Kazi nzuri dr SAMIA SULUHU HASSAN, ila tafakuli ni muhimu
JustineMhamba (1 year ago)
Acha uongo. Tunataka Katiba. Umetuburuza sana kwenye raslimali zetu, umeuza bandari kwa dharau kwa sababu hushitakiki.
johnlfuluge2055 (1 year ago)
Na haiwezekani kwa kweli Nchi kwenda kama wanavyotaka wachache wenye nia yao ovu kwa Nchi. Hongra kwa msimamo huo Mh.Rais
RebeccaBhoke (1 year ago)
Point sana mama
Kweli mama katiba tulio wengi hatuijui ina nn ndani.tuijue iliyopo na mapungufu yake
margarethsolomon9823 (1 year ago)
Mama yamkini uongozi wa Urais umekuingia vizuri huhitaji kusikia wala kuelewa. Tutumie basi ile katiba ya Warioba.
BeniJohn-xd3cn (1 year ago)
Mungu a kisema ndiyo ni ndiyo una muda ktk uongozi ktk Taifa letu nenda Zanzibar
JumaNchimani (1 year ago)
Kazi nzuri mama hii ni Mali ya watanzania sio vyama vya siasa pekee
surusuru1994 (1 year ago)
ZuberiAbasi-ee2vr (1 year ago)
hongera mama hapo uko vizur
salehesamba1237 (1 year ago)
Da mungu alete heri
jescagracemakala4424 (1 year ago)
AMEN
evaristoaidan2690 (1 year ago)
Asanteeeee
YahayaKiobya (1 year ago)
baegtcomedia6798 (1 year ago)
Kweli