Eric Mtalemwa
Eric Mtalemwa's Channel
 
 
IENDEE HATIMA YAKO. Shepherd Mtalemwa.
13
KUFUFUA WAFU. pastor Eric. message#16
5
 
Eric Mtalemwa
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
Eric Mtalemwa
Description
+255 766 013159.
Naitwa Eric Mtalemwa wa Mwanza
Tanzania.
Bwana Yesu Kristo ni Mungu Kweli kutoka Mungu Kweli sawasawa na IMANI YA NIKEA
***Nakuomba *USUBSCRIBE* Channel Hii tuendelee kujifunza Neno la Mungu. Ahsante, na Ubarikiwe sana.
+255 766-013159
Subscribers
942
Subscriptions
Recent Activity  
Eric Mtalemwa (1 month ago)
 
 
Friends
Channel Comments
EvaristMaziku (1 year ago)
Tuliokuja kumtazama baada ya interview ya milladayo tujuane
dearmama4336 (1 year ago)
Wangapi wamefika hapa baada ya interview ya millady Ayo
mikejmusic254 (1 year ago)
Nmekuona kwa interview uku Mungu akupe neema na akuwezeshe katika hili
mcmamadiva1257 (1 year ago)
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.. Mungu akuinulie vifaa vzr ufanye kazi nzuri zaidi kwenye mitandao ya kijamiii..
barakandabunganie6585 (1 year ago)
Hata mimi nimemtafuta baada ya interview,Mungu amtie nguvu
rosezacharia5555 (1 year ago)
Mtumishi angalia bado tuhai basi mungu atakuinua vilivyo hata mbuyu ulianza kama mchicha, Daima Yesu ni kimbilio barikiwa .
egbertcharles (1 year ago)
Nimekufahamu kupitia Ayo TV. Mungu na akuinue dhidi ya kila pingamizi na changamoto zote unazopitia maishani mwako. Amen
JudyNasambu-rw4mm (1 year ago)
Niliona interview yko nikakimbia hapa na niliumwa sana
silviafaraja8636 (1 year ago)
Nimesikitika sana kusikia mtumishi wa Mungu kushindwa kumsamehe mtu anayeomba msamaha ilihali maneno ya Mungu yanasema samehe saba mara sabini. Sijamuelewa ni kwanini hutaki kusamehe hadi unakufa je ukiulizwa na Mungu utajibu nini? Mungu atusaidie sana.
rehemamatembo (1 year ago)
Mungu akutie nguvu mtumishi
jackpemba1 (1 year ago)
MUNGU akubariki sana mtumishi. Hakika MUNGU wetu asikiaye na aonaye hatakuacha kamwe. Utainuka tena kwa kishindo zaidi ya kile kishindo cha wakoma. Nimeangalia interview yako namna unavyojieleza kwa amani na bila hofu, inaonesha kbsa aman ya BWANA iko ndani yako licha ya kupoteza wadhifa uliokuwa nao. Wewe ni mtumishi wa MUNGU na MUNGU hataacha hazina yake ipotee hapana.
Official_petermoshi (1 year ago)
Hamu ya Utumishi huwa haikomi hadi kufa tumika daima
FaustinaMkumbwa (1 year ago)
Ubarikiwe
AhamedAl-y4b (1 year ago)
Amina mtumishi
SamwelKaheza (1 year ago)
Amen pst Mungu azidi kukutumia apendavyo
Mariamswed-s6y (1 year ago)
ww n wa rohoni wenzio wako gizani na Neno linasema giza na nuru havikai pamoja na ndio maana Neno linasema tokeni kati yao mkatengwe nao unapoendelea kutaka kuwepo gizani una mkosea Mungu toka huko
JoyceJohn-e1q (1 year ago)
MUNGU azidi kukubariki mtumishi wa MUNGU
BobuMrema (1 year ago)
Amina Mungu wa mbinguni azidi kukuinua kwa viwango vya juu azidi na zaida .
janerosejohn8373 (1 year ago)
Unatosha sana mtumishi kazana mbele Yesu atakuinua mwenyewe
WantrudisTira (1 year ago)
Amina sana mtumishi