Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
TRT Afrika Swahili
Description
Afrika kama ilivyo
Subscribers
56K
Subscriptions
Recent Activity
|
TRT Afrika Swahili
Kulingana na ripoti iliyotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) hivi karibuni, Afrika Kusini inaongoza bara la Afrika, kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi, ikifuatiwa kwa karibu na Misri na Nigeria.
Kwa upande mwingine, Kenya ndiye kinara wa kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku DRC ikishika nafasi ya 10.
Orodha hiyo imeangazia vigezo viwili, ambavyo ni jumla ya pato la taifa na uwezo wa ununuzi wa ndani wa mwananchi na gharama za maisha katika nchi husika.
Je, unakubaliana na utafiti huu?
|
||
|
TRT Afrika Swahili
Kwa mujbu wa ripoti ya Utendaji wa Kiuchumu ya Juni 2026, iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), mkoa wa Dar es Salaam unashika nafasi ya kwanza kwa utajiri, kati ya mikoa 10 nchini humo.
Ripoti hiyo imeangazia thamani ya mchango wa kila mkoa kiuchumi, bila kuzingatia zaidi kipato cha mtu mmoja mmoja.
|
||
|
TRT Afrika Swahili
Zaidi ya watoto 20,000 wameuawa. 60,000 wameachwa bila mama, baba au wazazi wote wawili.
Mauaji ya halaiki yanayofanywa na Israel huko Gaza, Palestina yamewanyima watoto haki yao, yamesambaratisha familia, na kuwaacha maelfu mayatima wakipambana na maisha bila wasaidizi wao.
Hivi sasa, msimu wa baridi unapowadia, mazingira ambayo watoto hawa wanalazimika kuiishi yanahatarisha hata uhai wao.
|
||
|
TRT Afrika Swahili
Kenya inajiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ulioratibiwa kufanyika tarehe 10 Agosti 2027.
Tayari joto la uchaguzi limeanza kuonekana nchini humo huku wanasiasa wakipimana nguvu kupitia mikutano ya hadhara, japo kipindi rasmi cha kampeni hakijaanza.
Tazama
https://www.youtube.com/watch?v=w9EHN...
|
||
Friends (12)
Channel Comments
|
aginsagins-jf4vz
(2 years ago)
Ameanza kuimba kabla sijazaliwa mpaka sasahivi naelekea kuwa Mmama. Hongera sana kwake kwa kazi nzuri na Mungu kumjalia maisha marefu. Napenda nyombo zake hasa ile inaitwa nalijua jiji
|
|
chapwanisalim7467
(2 years ago)
Paula Adel miss you hun
|
|
HamisWawila
(2 years ago)
Hongera sana kwa kufanya mziki muda mrefu
|
|
rosemwashitete4305
(2 years ago)
Haaaa mdogo wangu kabisa hongera mwanangu
|
|
lichstudio2024
(2 years ago)
Daaah,maisha ni safar ndefu sana,tuskate tamaa
|
|
salminasalim5630
(2 years ago)
Jamani Nasma alikuwa anaimba vizuri sana kuliko na hakuwa NA MPINZANI BASI TU KWA KUWA LAKINI NASMA WAS THE BEST TAARAB SINGER HAKUWA NA MPINZANI NA HAKUWA ANALAZIMISHA SAUTI L. ILA SAUTI YAKE ILIKUWA INAITA MUNGU AMUWEKE PAHALA PEMA PEPONI
|
|
wendambund
(1 year ago)
Sio mama anakuwa bibi
|
|
OmarJuma-u3r
(1 year ago)
Khadija kopa rudi kwa mungu tena una miaka 74 mungu anakupeda sana
|
|
abdiabdilahi7319
(2 years ago)
mrbo ilveu
|
|
channyanjen9047
(2 years ago)
Maman
|
|
masoudalriyamy6298
(2 years ago)
Huyo sio malikia wa tarabu malikia wa taarabu alikua anaitwa siti bint saad walikuepo kina sihaba juma asha simai na wengine huyo sio muimbaji wapo kina abasi mzee
|
|
msumbufuwatwitter
(2 years ago)
Nampenda sana huyu mama mzaa chema.Napenda nyimbo zake hasa ule wa gwiji
|
|
luzvirto
(2 years ago)
Eti mwanaume aski taarab shutu utaumiza roho yako
|
|
mhrmahir3756
(2 years ago)
na asitubie tu apo alipo asipotubia huko akhera atakwenda kiona
|
|
aminamlali-m1h
(2 years ago)
Niliwaze
|
|
sammynyundoh7652
(2 years ago)
Yukowapi? Bado anatamba
|
|
mwatummselem2411
(2 years ago)
Rudi tena kwamungu wetu dadaetu tukapate heri ahera kama kupata kusha pata
|
|
zabibuwazir2377
(2 years ago)
Rudi tena kwa Allah, upate tuzo kwa Allah itakayokupa maisha bora ya barza,ya wanaadamu haitokufaa bassss dadangu,nakutakia mema,AMUA
|
|
davidkinyanjui8085
(2 years ago)
Maneno mingi lakini hatukupata nafasi ya kusikia nyimbo zake
|
|
nigananurunjema
(2 years ago)
Sidhani kama alikuwa anatunga pamoja na marehemu John Komba. Kama nitunzi wa nyimbo za hamasa basi tunaomba tumsikie.
|
Add comment







































































