Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
Name
Bochere KE
Description
Please support me for sharing my videos
Subscribers
2.39K
Subscriptions
Recent Activity
|
Bochere KE
Hello guys please help me to share my friend's video
https://youtu.be/eO-CDi-41_8
|
||
|
Bochere KE
Happy birthday Bochere ππππππππππππhelp us to wish her happy birthday πβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈπΉπΉπΉπΉ
|
||
|
Bochere KE
Please go watch the love killer Kenyan movie
|
||
|
Bochere KE
*MARIA WRITTEN UPDATES*
*Thursday on Maria*
#Part_1
Maria atamuuliza Rufina shida ni gani coz amekua aki act weird since wafike hapo. Rufina atadai anafikiria vile Naomi angesikia kama angekuwa hai ashuhudie harusi ya Maria. Rufina atauliza Maria mwisho kumwona naomi ilikua lini? Maria atadai ni kitambo Sana. Amekuwa akiomba na hajawai kuja. Rufina atadai kwa wanawake wote ana rate Naomi Sana. Alikua mwanamke mzuri Sana. Rufina anaomba Mungu aiweke mahali pema peponi roho yake Naomi. Rufina ataambia Maria Silas alimkataa, bado hajamkubalia arudi kwa life yake. Maria atamwambia ni pole pole tu. Rufina atadai anampenda Silas. Maria atamwambia anajua anampenda, lakini afadhali sahi Rufina humwona Silas daily kuliko vile alipotea. Rufina ataomba Maria amsamehe kwa kila kitu amewahi mkosea. Maria atadai ako fiti then aambie Rufina achangemke apige hata pasi.
Maggy atagongana na Pupa kwa bahati mbaya earphones zake zianguke chini. Kumbuka Pupa anakuanga amempenda Maggy na si chocha. Wataangaliana then wote wainame kuziokota zile earphones. Watasimama tena then Pupa aende kumpa Maggy busu... Maggy atamsukuma kando na ajitoe.
Upande mwingine ni Fally na crush wake, Kobi. Wote wamevalia vipoa si mchezo. Kobi atauliza Fally kama hajaweza Fally amshow ameweza mbaya sana...amemkunywa mbya. Fally atadai first time kumwona Kobi kwa dress ilikua kwa ndoto. Alimuota na nguo za wedding na Pupa ndiye alikua fathela kwa wedo yao. Kobi atacheka adai Fally amemchocha but ni sawa tu. Kobi ataambia Fally anakaa poa. Pupa atawajoin aulize kwani yeye hawamuoni? Kobi atadai Pupa ndiye bazzu mwenyewe. Pupa ataambia Kobi pia yeye ameza mbaya. Kobi ataambia Pupa vile Fally anamchocha ati aliota wakimarry na Pupa ndiye alikua fathela. Pupa atadai alipelekwa na hizo marada, lakini waache za ati ilikua ilikua...ni wachape hiyo wedding papo hapo. Kobi atadai kujitoa before wamvunje mbavu. After Kobi amejitoa Pupa ataambia Fally afwate mali ama ipotee tena.
Maria akirembeshwa Maggy atafika kwa hiyo room. Rufina atashangaa kumwona. Maggy atadai Maria anakaa poa Sana. Maria atamwambia kama amemaliza ajitoe. Maggy atamwambia ni siku yake awe na furaha.. Maggy hana time na negative energy, alikua amekam kumpa Maria congrats. Maria atadai thanks then aambie Maggy hiyo feeling ni fiti, boy Maggy alimezea alichagua Maria. Maggy atajitoa. Rufina atauliza Maria Maggy anaduu nini hapo? Maria atamwambia Silas alimualika but alisahau kuambia Rufina. Rufina atauliza na ni kitu gani hiyo anasikia mambo ya bwana ya wenyewe? Maria atamwambia Silas atamchapia kila kitu.
Pupa ataambia Fally ye humwangusha time zingine, ama anadai apewe mistari atupe kwa Kobi? Fally atadai Pupa ako na maufala. Pupa atachapia Fally kuhusu Luku Maggy alimpea hadi akasikia weeeh....wacha ibaki story. Fally ataambia Pupa Maggy ni wa usoro. Pupa atamwambia ndio ndani ni roho chafu but nje ni Mali safiiii. Fally atadai kueda kuchapia Maria hii story. Pupa atamuuliza kwani Maria anadhani ye hana hisia??? πππ
Maggy akienda kwa nyumba Silas atamvuta amwambie amemuhata...na anakaa fiti. Silas ataambia Maggy anajua machali wote wangemuoa wamemtoka, ama ni Silas alimuweka hizo swara? Ama labda Silas angemuoa tu πππ Silas atamuuliza kama amejam juu Maria amemuosha boi? Silas ataambia Maggy Jah huwa habless watu fake, ye hubless watu real.
.
.
#PART 2
Brighton Atakua kwa chumba chake cha matayarisho akiwa na marafiki zake wawili marasi wote.... Watakua wanamsifu. Ghafla Sandra ataingia na hao marafiki wa Brighton kutoka. Sandra atabaki na Brighton. Sandra atamsho Brighton asimfail coz imemgarimu sana.. Brighton atamsho asiwe na wasi wasi... Brighton atamsho asikose kutimiza ahadi yake coz hao marafiki zake watamchangamkia akikosa. Daniel ataingia na kuanza kumsifu Brighton... Sandra atajitoa.... Daniel atamhug Brighton....
Daniel Atakua anaingia kwa Venue ya harusi na watu kuanza kumkaribisha na makofi na shangwe. Atawasalimia kisha kukaa
Maria Atakua anarembeshwa bado. Rufina Atakua amejifungia kwa chumba alafu mama chapo amuite atoke nje... Ile uwoga Rufina ako nayoππππ....
Brighton Atakua anaangalia saa huku akicomplain lakini Maggy atamtuliza.... Kisha bibi harusi ataingia kwa uwanja huku Kobi akimwaga maua kwa Njia... Nakwambia ile dress maria amevaa ata wacha tuππππSmart....
Brenda na Sophia watakua kwa hao wakiwa na wasi wasi ghafla sms zitaingia kwa simu ya Brenda..
Luwi naye Atakua ananyolewa ghafla sms zitaingia kwa simu yake.. Luwi atamkol Brenda amuulize ni nini hiyo alafu Brenda amsho Maria ndo anaeza jibu kisha akate phone.
Maria atashangiliwa akiingia... Daniel ataangalia amuone Rufina sema Daniel KUFAINTπ
Hata mm nmefaint ππππ
To be continued...
.
.
.
Kama kawaida usisahau ku-like
Husifaint kama Daniel alafu ukose ku-like. Husipo like hiyo psych ya kuandika natoa wapi???
Subscribe after reading πππππ
|
||
Friends (1)
Channel Comments
There are no comments for this user.
Add comment




































