FURAHINI GOSPEL CHOIR KKAM IYUNGA
FURAHINI GOSPEL CHOIR KKAM IYUNGA's Channel
 
 
Ni Yesu tu - FIDESTA KAMWELA
23
 
FURAHINI GOSPEL CHOIR KKAM IYUNGA
Your channel viewers will see links here, including "subscribe" and "add as friend".
Profile
 
Name
FURAHINI GOSPEL CHOIR KKAM IYUNGA
Description
Sisi ni kwaya ya vijana kutoka katika kanisa la KKAM IYUNGA MBEYA, tunawakaribisheni wote katika huduma ya kumuhubiri kristo kwa njia ya uimbaji, tunafanya huduma mahali popote duniani, kwa mawasiliano zaidi WhatsApp +255 769696897, +255 786850581, FB FURAHINI CHOIR KKAM IYUNGA, Inst furahinichoir
Subscribers
670
Subscriptions
Friends
Channel Comments
gerrymimi9387 (4 years ago)
Hongereni sana Wakristo Walutheri wa Mbeya. Mmeushinda ubaya kwa wema. Sasa, hata wanasiasa walioingizwa katika mgogoro kwa uongo wanakaa mbali nanyi.
rebecakipangula3679 (4 years ago)
Hakika Mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU.Hakika Mungu ni wa woteee
edakiputa1108 (4 years ago)
Ni huruma ya Mungu tunaishi.
rebecakipangula3679 (4 years ago)
Waliwabip mkawapigia waprotestant ni nomaaa
elyhillary2000 (4 years ago)
Amen
innocentludovick4724 (4 years ago)
Siasa katika nyumba ya Mungu mwisho wake ni mbaya sana.
MerereJr (4 years ago)
Tawi likikatwa kwenye shina litaonekana bado ni la kijani tuu, na litaonekana linaweza kuishi vizuri tu bila shina. Ukijani wake utapimwa na muda, uasi juu ya mamlaka halali ya Mungu, unakuwa na mwisho mbaya sana.
annemlay11 (4 years ago)
Riho ya kuasi ilianzishwaa na muasisi wa kanisa hilo Martini Luther na itaendelea hivyo mpaka Yesu atakaporudi Hapo hakuna kumfuata Kristo bali uchu wa madaraka na uasi tuuu.Poleni.
NGUVUYAMUNGUTV (4 years ago)
Mungu yu mbal San,
machoguhameri7757 (4 years ago (edited))
Hapa kuna Kanisa jipya linazaliwa mbeya.Ujue mbeya ndiyo inaongoza kwa wingi wa mgawanyiko wa madhebu ya Kikristo inakisiwa kuna madhebu ya kikristo yapatayo 3000 Hivi.
cheiknamouna2058 (4 years ago)
Simwoni EliudiπŸ½β€οΈ
fridalyanguka1733 (4 years ago)
Watu weusi fungukeni hatuna haja ya dini kwani dini ni kifo Cha kiroho. Sisi tuliumbwa na Mungu bila dini huo ni utumwa wa kiroho.
simongwandu7392 (4 years ago)
Shetani anazidi kutwala makanisani vita mtindo moja
Sasa hana. Kazi. Endeeleeni kuhama naye ,iv mwalim akihama au. Kufukuzwa mnafukuzwa nay wanafunz gani kwani kapita shul ngp mwanafunz fanya yako
tumainimwakyaka2775 (4 years ago)
Mm cjaelewa hapo anaondoka anaenda wap
danielanyitike715 (4 years ago)
Tamaa. Za madaraka mungu aziakiwi mufuateni mungu sio mwanadamu
kostamhogofela6335 (4 years ago)
Mbona hamahama inazidi siku hizi kwa watumishi kwanini? na kwann wanasajili makanisa mengine hapa shetani anajambo.
starspreandprimaryschools3075 (4 years ago (edited))
Nyakati za mwisho ni dhahiri
zakiamseka9698 (4 years ago)
Dawa ya Madikteta kanisani ni kuondoka tu na kuwaachia dini yao...
enockjuriely9068 (4 years ago)
Muda ni swala linalizungumza